Ukiwa umeingia katika akaunti, unaweza kukagua vifaa vilivyotumika kuingia katika akaunti yako hivi majuzi. Unaweza kuona shughuli za kifaa chako, ikiwa ni pamoja na vifaa vilivyotumika kuingia katika akaunti yako siku 28 zilizopita na kupata simu iliyopotea au iliyoibwa.