Akaunti
Usaidizi
Ingia
Akaunti
  • Mwanzo
  • Taarifa binafsi
  • Data na faragha
  • Usalama
  • Watu na kushiriki
  • Malipo na usajili
chevron_left
chevron_right
  • Mwanzo
  • Taarifa binafsi
  • Data na faragha
  • Usalama
  • Watu na kushiriki
  • Malipo na usajili
  • Kuhusu

Data na faragha

Ingia katika Akaunti yako ya Google ili uchague data itakayotumika kuweka mapendeleo kwenye huduma za Google
Ingia katika akaunti
Ukiwa umeondoka katika akaunti, baadhi ya taarifa kuhusu shughuli yako kwenye Google zitahifadhiwa katika kidakuzi au teknolojia sawa kwenye kifaa chako ili kufanya huduma za Google zikufae zaidi. Pata maelezo zaidi kuhusu vidakuzi.
Unaweza kutumia zana zilizo hapa chini ili kudhibiti hali yako ya utumiaji kwenye kifaa hiki.

Kubadilisha utafutaji ukufae

Wakati mipangilio hii imewashwa, Google hutumia utafutaji kutoka kwenye kivinjari hiki ili kukupa matokeo na mapendekezo yanayokufaa zaidi
Badilisha upendavyo

Historia ya Ulichotazama na Ulichotafuta kwenye YouTube

YouTube huboresha mapendekezo ya video unazoonyeshwa kulingana na historia ya video ulizotazama au kutafuta kwenye kifaa unachotumia sasa
Dhibiti mipangilio ya Historia ya YouTube

Mipangilio ya matangazo

Unaweza kubadilisha aina za matangazo unayoona kwenye Google kwa kuchagua kutoonyeshwa matangazo kulingana na mambo yanayokuvutia. Bado utaendelea kuona matangazo lakini hayatakufaa sana.
Kudhibiti mipangilio ya matangazo

Kutoka kwenye Google Analytics

Wamiliki wa tovuti unazotembelea hutumia data iliyokusanywa na Google Analytics kufanya tovuti zao zifanye kazi vizuri zaidi. Unaweza kuchagua kutotuma data hii kwenye Google Analytics kwa kupakua na kusakinisha programu hii jalizi ya kivinjari.
Maelezo zaidi
Tafuta
Futa utafutaji
Funga kisanduku cha kutafutia
Programu za Google
Menyu kuu
FaraghaSheria na MashartiUsaidiziKuhusu