Futa huduma mahususi za Google au Akaunti yako ya Google

Ikiwa huhitaji tena kutumia huduma mahususi za Google kama vile Gmail au YouTube, unaweza kuingia katika Akaunti yako ya Google ili uzifute. Unaweza pia kufuta akaunti na data zako zote kama vile barua pepe na picha.